Sheikh Kamil Yusuf Al-Bahtim

IQNA

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /6
TEHRAN (IQNA) – Mmoja wa wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Misri ambaye aliweza kuendeleza mtindo wake wa usomaji kwa kuwasikiliza tu wasomaji wakubwa alikuwa Sheikh Kamil Yusuf Al-Bahtimi.
Habari ID: 3476029   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/03